Viatu za afs_ke ni fake ama real thing (just an honest question)

yuuu

Village Elder
#1
wangapi washanunua viatu afs_ke? Si kuwachomea but nataka kujua kama vitu zao ni real thing coz wanauza viatu mbichi lakini cheap joh ata sielewi. Mwenye anajua atuchanue tafadhali.
 
grandpa

Village Elder
#7
wangapi washanunua viatu afs_ke? Si kuwachomea but nataka kujua kama vitu zao ni real thing coz wanauza viatu mbichi lakini cheap joh ata sielewi. Mwenye anajua atuchanue tafadhali.
Cheap chinese imports.

Zote ni fake. That is why you get a 300 dollar shoe from Nike or Addidas for 40 dollars
 
#8
Hehe go to eastleigh and you will find those shoes even cheaper Hao wasee wanatoa hizo viatu eastleigh Amar plaza
Eastleigh?Peasant alert.I buy my sneakers at Laces in Magharibi plaza on Ngong Road for $50.The problem with Africans we have no sense of pride of ownership and we like buying hand me downs
 
yuuu

Village Elder
#16
Cheap chinese imports.

Zote ni fake. That is why you get a 300 dollar shoe from Nike or Addidas for 40 dollars
I normally import mine from US, but vile niliona zao nilikuwa nafikiria maybe najiwaste na import kitu expe. At least nimejua zao ni fake. Ata sishtuki. wacha niendelee kuimport viatu zangu. at least sitaona nayo wengi pia.
 
Top