Viatu za afs_ke ni fake ama real thing (just an honest question)

wangapi washanunua viatu afs_ke? Si kuwachomea but nataka kujua kama vitu zao ni real thing coz wanauza viatu mbichi lakini cheap joh ata sielewi. Mwenye anajua atuchanue tafadhali.

Hapa ni section ya sex and relationships madam,keti pale…[ATTACH=full]243345[/ATTACH]

Hehe go to eastleigh and you will find those shoes even cheaper Hao wasee wanatoa hizo viatu eastleigh Amar plaza

kwa hivo hizo viatu si original sijui adidas ama Nike. Ni viatu feki tu

TROOOOLLLLS , MULTI HANDLER

@yuuu are a ferkin idiot

Cheap chinese imports.

Zote ni fake. That is why you get a 300 dollar shoe from Nike or Addidas for 40 dollars

Eastleigh?Peasant alert.I buy my sneakers at Laces in Magharibi plaza on Ngong Road for $50.The problem with Africans we have no sense of pride of ownership and we like buying hand me downs

:D:D:D:D You think those are originals because you’re overpaying?

Nimeziona pia.they are Chinese knockoffs

Huyo most likely ananunua Eastleigh ama kamukunji.

This guy is just dumb as fuck

Buy original quality shoes na ujiheshimu.Mambo ya Eastleigh sijui gikomba ni for peasants kama wewe mnabargain viatu Mia tatu

Jaza hii form hapa chini
[ATTACH=full]243383[/ATTACH]

Them shits is fake. Soles don’t even bend.

I normally import mine from US, but vile niliona zao nilikuwa nafikiria maybe najiwaste na import kitu expe. At least nimejua zao ni fake. Ata sishtuki. wacha niendelee kuimport viatu zangu. at least sitaona nayo wengi pia.

Hehe pesants here set standards like Roysambu slay queens yet they are living a lie

@Maombi hodari Naeza pata hiyo ya kwanza wapi??