VIDEO CONVERTER (VHS)

Status
Not open for further replies.

dranya

Village Elder
#1
Vipi wana kijiji? ni wapi naweza pata mtu wa ku convert zile tape za movie za kitambo (video cassette) into sopt copy ama iwekwe kwa DVD? Any contacts will be highly appreciated
 
This is Gold

Senior Villager
#2
kama ni movie ya kitambo unatafuta enda youtube utazipata zote huko. Ma veteran walisha convert all those movies to soft copy na waka weka kwa youtube..juzi nili watch jurassic park ile ya fao on youtube
 
dranya

Village Elder
#3

sio hiyo brathe, ni tape ya harusi ya maparo ilikuwa nataka kuchangamkia
 
#5
Go to those video editing guys they have some sort of external hardware that helps convert those analogue videos into digital ones....Pinnacle video card kitu kaa hio....last time I checked it was bloody fuakin expensive
 
dranya

Village Elder
#7

unaweza kuwa na contacts zao? thanks ata hivyo
 
Status
Not open for further replies.

Top