• Happy New Year, and Wishing You A Productive 2021

VIDEO: Mambo 10 Usiyofahamu Kuhusu Gucci

#1
Gucci ilianzishwa mwaka 1921 kabla ya Vita Ya Pili ya dunia!

Guccio Gucci alivutiwa sana na fashion ya mabegi miaka ya 1890s alipokuwa mfanyakazi wa Hotel kubwa mjini London, Savoy Hotel.
Mwaka 1921, Guccio Gucci akiwa na miaka 40 akaanzisha kampuni yake Gucci mjini Florence, Italy

TAZAMA VIDEO,
 

Top