VIDEO:Mambo 10 Usiyofahamu Kuhusu Mlima Kilimanjaro

#9: Mtanzania Aliyepanda Mlima Kilimanjaro na kushuka ndani ya mda mfupi!

22 February 2017, Mtanzania Simon Mtuy alipanda na kushuka Mlima Kilimanjaro ndani ya masaa 9 na dakika 19. Cha ajabu zaidi, Mtanzania huyo alipanda bila msaada hivyo alikuwa peke yake na alipanda akiwa anaharisha na kutapika vibaya

TAZAMA VIDEO

https://www.youtube.com/watch?v=4die7ICyBZ8

wa africa tuko mbele