VIDEO: Mambo 10 Usiyofahamu Kuhusu Nasty C

#5: Nasty C anapenda sanaa kiujumla!

Nasty C kazaliwa mwaka 1997, akiwa na miaka 16 baada ya kuhitimu high school alitamani kufanya chochote kuhusiana na sanaa, iwe mziki,graphic design, kushuti au kuedit video. Leo hii anafanya hayo yote kwenye mziki wake. Ana’produce’ nyimbo zake, ana’direct’ na kuedit video zake pia anapenda kujipiga picha na kuedit

TAZAMA VIDEO

https://www.youtube.com/watch?v=k0wt4ywZIVM