Vijana huu uvaaji unawaharibu na aliyewaambia mnapendeza kawadanganya.

Huu uvaaji nimeshindwa kuuelewa mpaka kijana mmoja hapa nyumbani ameenda kubana suruali ya shule na kuanza kuvaa hivyoo.

Ni ile wanapandisha suruali mpaka kwenye magoti inabana “strungi” vijana aliyewaambia huwa mnapendeza kawadanganya.

aise embu tupia picha tuelewe zaid

Mkuu bila picha ni sawa na stori za makinikia tu.

bila picha n sawa na mtori bila nyama

Amini mkuu, bila picha ni mpira wa kwenye radio

Picha ata moja tu

bila picha ni sawa na demu mkaliii bila K

Duh naona wananzengo wamechachamaa wanataka picha hahaha!

:D:D:D:D

bila picha ni sawa na kucheza tatu mzuka halaf unasubiria droo BIKO