Village Market

#1
Of late nimeona wasee wakiuza vitu kwa threads za forum. I suggest uongeze ka-market hivi kule wasee wanaweza uza vitu.
Pia watu wanaweza kurequest items wanataka kununua.
Nimeamshwa kutoka usingizini na hii idea so please implement haka kaidea kangu juu nitakuwa nimewaste usingizi bure. Asante.

Edit: Kama kuna msee mwingine anaona hii idea iko na miguu please make it known hapa juu nikiwa solo @admin ataona nimerukwa akili.
 
#10
IMO: shida Ya kuweka market is that incogniroooo status will be compromised. Wengine wetu huku ni billionaires na hatutaki kuwa targeted.
Thank you for being the first person hii thread mzima kusema kitu inahusiana na the matter at hand. I guess itabidi wasee wamecompromise kama they really need said item/ money.
 

Randy

Village Sponsor
#13
Hehehe.....
You are better off creating a similar forum and include all the categories you want.Apa utamea mvi ukingoja.
 

2eyeperto

Senior Villager
#19
I think village market is very important for the livehood of the local people of that village, this if where they sell and buy in order to meet their basic needs, though the village markets are run by the noble families in the society, they are the people owning the large shops and activities in the village market. Most of the commodities sold in this market are locally made and community based, depending on the type of the community. So I think that idea of selling viatu is a grand idea and should be started ith immediate effect, kama uko nazo saa hii basi anza kazi.
 

Top