Village sponsor

Nitabonyeza wapi nikuwe village sponsor

pamba mbona unasumbua

Habari ya masiku inspector?

Welcome back. Bado mko chini mko na kazi mingi ya kufanya

Hiyo ujinga utarudi nao tu pahali umetoka!

@ChifuMbitika kuuliza si ujinga. We uko na mashida zako zenye zinakusumbua

Kila mtu ako na mashida. Hata birrioneas kama kina @Bingwa Scrotum na @Mimi Huwa Namwaga Ndanii bado wana mashida!

Za kichwa, akili

Mdau inspekta ulisema yelo yelo ya Ethiopia zinapatikana chuom gani pale moyale.