Hamjambo wanakijiji, Mimi sio mgeni hapa, hio handle ingine yangu ya @Lecturer ilitupwa Siberia na @admin .As you all know, I am a part-time lecturer pale FASS Egerton University. To my story. I believe naweza saidika hapa na nsaidie mwengine by sharing. At least burden itakuwa imepunguka. This is not a scam. Anybody willing to help can verify my details na story.
My story ilianza last year Jan after my dad alipata accident na akapata double fracture. Kupelekwa North Kinangop hosi akalazwa hadi August 2017 ndio alitoka. So as a first born nkachukua usukani kusaidia maybe na stori ya fees naf kurun familia from my pocket… I have two siblings at uni… kimathi na KU na wawili highschool. tumu tumu girls na mahiga girls. All was well, I had even a side project ya dairy cattle na goats.
Mambo yalianza kuenda mrama This year March. Mshahara wa part time lecturers ukaanza kukosa,tunaambiwa tuvumilie, Nairobi ujue she Tani akianza kukutafuta hata ugali itakung’oa meno, April nikirudisha Buda hosi, tulirudi home nikapata ng’ombe plus mbuzi zimepata miguu, nilitafuta hadi kwa cupboard, anti stock theft wakajaribu kufuata zikakosa, hivyo ndio around 300k yangu ilizama.
Kumbuka ni mimi nasimamia fees za high school na upkeep uni, nikaapply bursary mmoja akapata, mizigo ikapunguka or so I thought, May, shetani akanipata tena, nikapata fracture kwa Mguu, nikaakaa nje hadi June nikarudi na clutches, Mshahara nayo mnalipwa kiasi, kama 20k Ivi, ati ya kuwakeep running. Rent nikaanza kudefault bila kupenda." Marafiki"nao wakaanza kuenda missing. Nakumbuka June siz akafukuzwa ju ya fee na skuwa nafeel any, nikaenda nikauza system na screen nikamlipia. Mambo badala ya kuwa mazuri yanazidi unga, June, July hadi wa Leo hakuna Mshahara. Nikauza Lapi na phone nikabaki na mulika mwizi npate fee na upkeep ya third term. All this time mum hajui vile Kunaendaje ju kumwambia ni kuwaua.
Kwangu saa hii nimebaki na bed, nguo, meza na gas tu… Nikapata ulcers ju ya stress, natafuta relatives na Marafiki Hakuna wa kusaidia. The straw that broke the camels back ni vile Mwonya Vc wa Egerton alipatikana na scandal.wakasema tusimamishwe kazi kufanyiwa audit, Mshahara ya miezi kadhaa Hakuna. Nilijua niko pabaya after kuenda kujaribu kutoa stress kwa uwanja nikavunja rackets mbili kuzipigisha chini… Nikajifungia kwa nyumba wiki moja nikasema kama mbaya mbaya, nikaenda mjengo last week. Landlord ananidai miezi nne. Jana kutoka mjengo, nilipata ameningoja, kujaribu kumweleza achukue ili 3k nlikuwa nmelipwa na mhindi huko Vaghjiyani Enterprises, akasema Anadai miezi nne na akafunga nyumba.nilikunja mkia nikaenda tukakaa na mawatchie wa eger kukakucha Leo…
Kama kuna anyone anafeel anaweza nsaidie na chochote nitashukuru.kuna @4makind anaweza waambia tukipatana na yeye Dec last year nlikuwa hustle kuchomelea Tinga za wazungu kutafuta kitunguu. Naomba mnisaidie hata kama ni kulipa nyumba tu, ntaendelea kuhustle mjengo hadi Mambo yawe shwari.hata kama ni soft loan nitapata nitashukuru na nitanitahidi kulipa. Egerton Sacco nlienda @uwesmake Akaniambia siwesi pata loan ingine hadi nilipe yenye niko nayo. Kcb mpesa na mshwari vile vile. Namba ni 0710 723 295.