Violent D - (Minus) Officers Interdicted After Video Of Beating Goes Viral

This is the age of the internet and devices are everywhere. Cameras are just a an inch away. Always have 1GB Free space on your phone, you never know you might even capture the last minutes of a Boeing plane crashing in your village and that video will make you rich.
[ATTACH=full]270024[/ATTACH]

Hakuna kitu kama hiyo. There are five officers in the latest video. IG anasema watu wanne. Hakuna majina. Hakuna stations zenye wanafanya.

Hawa comrades watwangwe wapate akili… Ushawahi kutana nao State House Rd wakigoma?

Huyu mdame alipokezwa kichapo cha mwanamme.

Huyu sio dame, ni msee ana dreadlocks

Haiya

gaay

Where’s gay in that? Village idiot.

Kugoma sio mbaya. Kutupa mawe wakati wa kugoma ndio mbaya. Askari kupiga raiya wakigoma ni hatia.

wawe wanawatumia priests and pastors wakiwa na bible

how will these cops be identified??? that’s why they wear "fool lioting ngear’ …

Dawa ya moto ni moto, ukiamua kurushia raia mawe unadai askari wawarushie chocolate na Victoria secret.

Kaa nyumbani

Look again your profile Pic boss

Kwani hizo uniform hazina Number???

Can someone share the Video here Please.

If they can protest without destruction to property, the public would support…lakini wakigoma the outright effect is mawe and destruction and that’s where they lose support

twanga hao kabisa …kwani lazima wabock barabara na kurusha mawe so that we know they are rioting

What about it sir?

Bado unadinyanga tu shosho twa 50 something?

half naked. what are you advertising?

Unataka shosho yako adinywe? SWINE