This time I was not the main actor but a part of the cast as I found myself playing the role of an extra ndani ya hio sarakasi.
I went visiting my cuzo pale Ngei, Huruma on a Sato with the plan of leaving the following day majioni.
For a visual understanding of that kabuloti where he lived, makeja were single rooms za mbao. Ploti imeundwa design ya U with the rooms facing the open yard inside the slender compound na gate ime.attachiwa kwa the last two rooms zile zinaangaliana ukiingia tu hivi kwa plot. Hapo kando ya gate kuna vibanda kadha among them kibanda ya makaa na place ya kuuza maji all owned by Wangare, the landlady na base ya mtura na zile matumbo hukarangwa kwa pan hadi zinaturn black owned by her husband Kabuda. Btw @Wakanyama hebu kam kidogo utuelezee zo uitwaje.
Come Sunday and something out of the ordinary happened. Mimi na cuzo tunatoka church na nko na kadem fulani ka choir nliangukia, tunapata rende ya watu wa mtaani wamejazana hapo kwa Wangare. Kukaribia, mlango ya kibanda ikafunguliwa, ma spectators wakahepa. Nkaona cuzo ame duck na kabla nijue niaje kunaenda, nikakutana face to face na dasta moja wet inanuka ufala. Kidogo Kabuda akatokelezea mbio, hot on his pursuit was Wangare na ndoo ya maji chafu. Kufika hapo nje Kabuda akaslide akaanguka kwa mtaro Wangare akamkuta huko. Watu tukarudi kujionea war, tukapata Wangare sasa amewekerea Kabuda vipoa kwa hio mtaro akimkunyisha maji chafu. Blame this on chang’aa.
It was a sight to behold, mzee anapiga nduru na mama naye anaendelea kukaza huku wakigaragazana kwa matope. I knew it was against my religious upbringing kuona vitu za watu wakubwa, but I couldn’t help notice Wangare alikuwa amevaa ki afuong’o kia orange.
After kuchoka wakaingia kwa keja, Kabuda akibembelezwa. Later mzae akatoka akiwa amechange nguo na wakaendelea na mambo yao nikama hakuna kitu ilihappen. After the entertainment tukaingia kejani and forgot about it.
I later came to understand hio ilikuwa ni part of how they enjoyed their sunday. What a nice way to end the week.
So just to prove someone right, the same thing happened the following Sunday but this time with grave outcome.
I happened to be back in Huruma that Sunday juu ya kale kadem nilihuria. I had an afternoon date with her which was never to be. Around lunch hour is when all hell broke loose. Cuzo and I had just finished preparing lunch.
So kama kawaida akina Kabuda wakaamua kupeana their usual lunch hour show, kunyoroshana. As fate would have it Olambwesi, a maragoli neighbour, was busy preparing his lunch bare chested as is his norm, when nduru zilianza. Mimi na cuzo tukatoka nje kucheki matukio. Kufika nje tukapata Wangare anableed kwa kichwa, akaingia kwa kiosk akipiga nduru kidogo akatoka na kisu ya mboga akitaka kudunga Kabuda, mujamaa akatorekea ndani ya ploti.
Wangare akamfuata, naye Olambwesi akawa anatoka kwa ploti kukam kucheki nini inahappen sahio bado yuko kifua ndethe, Wangare akamdunga kisu thinking ni Kabuda. Hapo ikabidi kwanza vita iwe postponed mujamaa ashugulikiwe. Taxi ya shiny eye fulani hapo ilikam in handy mujamaa akakimbizwa hosi.
Kama bado tuna compare notes, tukaskia nduru kutoka ndani ya ploti tukashindwa wengine pia wameanzana huko ndani. Kidogo tukaona moshi followed by an explosion. Tukaacha kung’ethia huko nje tukakimbilia rescue mission.
We tried battling the fire to no avail and when we thought maji ya Wangare itatusaidia nayo ni kama ilikuwa imepotea ama aliifunga.
By the time zima moto ifike, keja za kuchomeka zilikuwa zimechomeka na za kubomolewa tulikuwa tumebomoa including ya cuzo. Kitu iliniwasha ni ati mpaka ile lunch special tulikuwa tumepika ilipotea tu hivo. Imagine unaona ugali na nyama ile ulifaa kusos lunch ndo hio but vyenye imejaa jivu na matope inabaki uimezee tu mate.
Dem kufika akapata ploti imechakaa, the kichinjio to be imebomolewa na yours truly naye anakaa escapee from mathari hosi.
So what caused the fire … Ule mluya, Olambwesi vyenye aliskia watu wakitwangana alichomoka njee akawacha maji ya sembe kwa stove. Inakaa maji yote ilievaporate sufuria ikawa red hot na kumbuka ni pressure stove ile huwa na miguu kama za mungikiress fulani hapa kwa kijiji, nayo ikachoka na waks ikajilipua.
Hivo tu ndo vyenye keja ya Olambwesi ilishika moto na kuambukiza the adjacent rooms na kuingizia watu hio hasara yote.
So in one day, Wangare akapigwa mbao ya kichwa, Olambwesi akadungwa kisu, keja zikachomeka, mimi nikamiss mbinjano plus lunch yenye ilituchukua more than two hours ku prepare ikaenda tu hivo.
Hio night ilibidi tukeshe kwa matanga ya wenyewe hapo karibu juu hakukuwa na otherwise.