Vita ya Ku annex

Watu wangu hebu na niwaambie vile ningekufia nairobi sababu ya hawa wanawake. Ile vita nilikula apo K.U annex coz ya hii group ya madame, mimi ndio najua tu…kwanza wacha majamaa wa hapo wajue mimi si wa k.u na nimekam kufisi hao madame…ilibidi nichote mafuta ya chipo apo kwa hyo joint ya chips nirushie raia…karibu nikufe aise…ni place hadi security wa K.U walikam na zile pajero zao mzee mzee kunisaidia…lakini finally nilitoka na mtu

I can smell a hekaya in what you’re trying to say.
Now go bring the hekaya.

ghasia hatutaki hekaya nusu nusu

Tusimulie yaliyojiri. Though sioni vile wanaume wanaeza kukazia madame huwa wengi sana in campus, huenda wewe pia una uchokozi fulani.

Leta hekaya kijana na uwache umama!

Nilikuwa kwa hiyo gang. Ulirukia amphitheatre ukahepa.
Leta hekaya sasa

Reminds me of the sins me and jack did during strike (recently). OOh boy. sometimes I get a shiver when i remember what we did.

Are you @dark maasai in disguise

haahhahahaha…am not

know hell is very real

Babu nyorosha hekaya…