• Happy New Year, and Wishing You A Productive 2021

voting today

#1
so sparta jana,nimekesha nikimumunya whisky,since hakuna job na arauka. nimelala kitu 3am na by 5.40 nilikuwa macho, kushower ka breakfast na kutoa lock.. na kuchomoka kuenda kuvote . kufika tao kunakaa place watu wamehama....unapatana tu na GSU wako tayari. .

kufika polling station scared heart, hakuna wasee nimepatana na makarao kama 25 uko ndani na some few jubilee elected MCA uko ....the process imenichukuwa 2 minz ....walai watu wa nasa wameboycott hii kitu....lakini hii pesa 12 billion tugepewa mtu yake....UK apishwe kesho


voting this time ni upuzi
 

Some Say

Village Elder
#8
Nimepitia polling station in my leafy neighbourhood naskia wasapere wakiongea tu. Inakaa hii si elekshen ni census ya wasapere
 

Top