voting today

so sparta jana,nimekesha nikimumunya whisky,since hakuna job na arauka. nimelala kitu 3am na by 5.40 nilikuwa macho, kushower ka breakfast na kutoa lock… na kuchomoka kuenda kuvote . kufika tao kunakaa place watu wamehama…unapatana tu na GSU wako tayari. .

kufika polling station scared heart, hakuna wasee nimepatana na makarao kama 25 uko ndani na some few jubilee elected MCA uko …the process imenichukuwa 2 minz …walai watu wa nasa wameboycott hii kitu…lakini hii pesa 12 billion tugepewa mtu yake…UK apishwe kesho

voting this time ni upuzi

Hehehehehe!! GSU wamekuweka maji kwa tumbo.

haha pointless kuenda town

Matatu za nyeri ni sare pia

Hii pesa ya bure lazima inukishe kitunguu.[ATTACH=full]134682[/ATTACH] [ATTACH=full]134684[/ATTACH]

GSU wanakugotea tu jaribu kusema nasa utakipataa…halafu unajuwa hawajalala wako na hasira

haha noma ati sp inakuwa shida

Nimepitia polling station in my leafy neighbourhood naskia wasapere wakiongea tu. Inakaa hii si elekshen ni census ya wasapere