Vuja De spotted in Demo

Matatu operators have blocked Matuu - Katangi road at Nuti, Machakos County, protesting poor state of the road.
[ATTACH=full]40795[/ATTACH] [ATTACH=full]40796[/ATTACH] [ATTACH=full]40797[/ATTACH]

aaaii I doubt! no pun, mkamba hawezi choma tyre :smiley:

21 Likes

ni kama wameru wachome miraa wakidemonstrate.
hii MMNW tumekataa…have another meeting with yourself alafu get back to us

4 Likes

kuna vw ingine hapa spring valley imeamua haitaki kuona street lights ama ni wale assassins wa weta? [ATTACH=full]40798[/ATTACH]

3 Likes

mbotochop

1 Like

hehehehehe
kuna tyre zingine beyond salvage

zile beyond salvage huwa zinaachiwa ndauwo

True

inakaaa imejifichio ni hio taaa

1 Like

:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D and with that, ni hivyo

proof wasee that mutua hakuna kitu anafanya. alisema atajaza hiyo baro lakini wapi??!
maendeleo half half

no way! tyre kama haitoi fiatu itatoa kamba ya baiskeli, boda. kama si kamba ni uzi wa kushonea fiatu. pia bushes za gari, ngeta za tyre zingine and in the worst case scenario itachomwa itolewe copper wires for recycling…

In many counties a lot of roads are not done. Mutua cannot tarmac all roads at the same time. That does not mean he is not working. You expect too much

1 Like

That looks real bruh

he said he would on 1st of october.
he can at least grade them, but nothing.
he hasn’t done anything that he promised to do in terms of infrastructure.

Uhunye na MO1 walichoma tusks kusend message. Might be possible in this case

2 Likes