@vuja de Hizi bow mnatengenezanga na mti gani? Nimejaribu kutengeza kadha zinavunjika.[ATTACH=full]136480[/ATTACH] [ATTACH=full]136481[/ATTACH]
hiyo ni NRM classified information
nisaidie buda
MAUKI apana sumbua paiplain entraprenua na upussssss
Watu wanafikiria kile watakunywa after hours wewe uko hapa na maswali za Khoisan na Dorobo…
Jionee huruma mwindaji haramu
nipewa order ya ivory
:D:D:D:D:D:D:D:D:D