Leta huo ujinga wako sasa
[ATTACH=full]227616[/ATTACH]
Tangu upate German juice unavitiso munene, ngoja nikuletee wale game wardens was naivasha wakuchangamkie
Hiyo rungu naskianga with the right physics inaeza pasua kichwa
Kichwa gani? In @Meria Mata context there are three heads
wantumianga mti gani kutengeneza rungu?..ukiwekelewa moja ya forehead inweza factory reset
cranium mzae… thoughts zako zinabaki kwa roadside
Kuna time I found a group of guys had captured a pickpocket. Kamzee flani kwa crowd kalikpiga pickpocket na hii rungu kwa forehead. Jamaa akatetemeka kama amepigwa shock na akaenda.
3340 .beaaast
Hii msedes tunajua mwenyewe mhindi