Vuka mwaka na Bass- Bei ni ya credo

Clean second generation Pioneer 308D4
Hii landlord Ata nosebleed. Call/text /whatsapp 0708480917 [ATTACH=full]342181[/ATTACH][ATTACH=full]342182[/ATTACH][ATTACH=full]342183[/ATTACH]

Kwangu miaka inakataa

Kwangu wacha miaka… hata ngozi inakataa

Intrested only that I’ll have to build a housing for It

Cabinet ziko… Well built cabs

He means kitu kama hii itataka uhushi kwako.

True. Hii ni utoto ya campus. Mtu anaishi mahali respectable haezi kua na hizi ujinga.

I actually meant cabinets zake

I would prefer installing it in my car rather than in the house

Nipe quotation msechla,and i hope i wount require some amplifier,ni plug and play :play_or_pause_button:

Na pia usipigie watu kelele Kwa plot.

Iyo lazima amp

Enda uzie maganya

Hiyo kitu ni Moto watu hawajui hizi streets.

Bana

Home theater is a toy to this

I have owned my Subaru 8 years now, a clean import from japan then, that FM exmander sijawahi fikiria.