Vunja De

uka mituki piu vaa Kiima kiu niukwikwatia kitoweo.
[ATTACH=full]106359[/ATTACH] [ATTACH=full]106360[/ATTACH]
yakunwa oyuu na sirkali bado.
ilikua yaleta mali kongowea.

Yaani siku hizi ukipatwa na ajali on these roads kuna venye utapoteza mali kwa wananchi wanaoamua ni haki yao kukuibia…

This accident just happened and the potatoes will malaysia very soon, sioni kaa deree ako hai though

ngoja dmax kadhaa zipite apo…zitamalysia zote

ata sio DMax, kuna FH zinakuaga hapo salama saa hii najua zisha fika. kwa hii mlima gari ya hema hukatwa na kuibiwa mzigo kaa inapanda. Pamba wa huko are very much aware of this

There were rumours that Kalembe used to do that job kitambo.

pandisha Lorry ya hema hapo tuone

Siwes.

Naskia @muria.mboco ashakuwa dispatched na fh kukujia mali

ivi ndio @vunja de atakam[ATTACH=full]106368[/ATTACH]

Hakuna kitu mbaya kama kupata accident na farm products in board,
Kwanza hautalipwa full amount.
Then utaibiwa ukiangalia.
Reminds me of a day in 2014 nliangusha canter Ya Maembe pale Kutus kagio.
Huyu mzee WA nyahururu nliona akilia maembe yake Saa hii si tunapiga hesabu ya body work for an aluminum board. Sahitan akija hatumani aisee

Na

And the way potatoes are expensive down here, this is sad

Ingekuwa unga ningefika hapo mapema. Lakini pole kwa wote waliohusika.

Kiima Kiu is home!

nini mbaya na lorri za viazi? last week nmepatana na mbili different places

uko kwa gari ya tours mata

:DYaani watu wanavuna tu penye hawakupanda ikiendaga tu?? Isnt there anything the driver and crew can do?

Like what?

Asimamishe gari atoke na nyahunyo??

One person against close to a hundred people? Hio si ni death wish.