VW Touareg

What are the cons of purchasing this vehicle as compared to say Mitsubishi Shogun

Wapi watu wa gearbox issues?

Niko hapa. Wacha ningoje wale wengine wakuje tuimbe kama chorus.

Gari is how you treat it… But shida ni kupeleka gari kwa mech… Then anajifunza fixing na gari yako… Ama ana wachia trainee…

Unapata kuna bolts haziku rudishwa ama screws… Then mech ana kwambia… Gari inaweza ende bila hizo… A month down the line coz of vibrations… Gari inaanza kusumbua…

Kwa kifupi… Nunua gari… Weather it’s good or bad… It’s upto how you treat it.

Touareg is better for comfort/luxury and fuel economy. But if it is an older car, VW used to have gearbox problems a while back so test drive it. I think touareg is a fulltime 4wd innit? Shogun has rather bad fuel economy but will probably take abuse more gracefully. It is cheaper.

Heheheeee…ulipatikana?

Uliza bibi ya @shoti_mzito .

Na Nani Tena kaka?

Get a jimny

Niko na rafiki alinunua vw saa hii ameweka gearbox tatu! Heheheee… Nilikuwa nikifikuri hata wewe labda ulinunua touareg…

Nunua hiyo gari utajulia mbele. It all depends on your discipline towards maintenance.

Kwani badala ya kubadilisha ATF anaweka transmission ingine ikiwa loaded? 3 is too much and veeeeeery suspicious on his maintenance practises…

which year? there is a first gen with a number of facelifts, then the second gen if you are to buy a toureg buy a second gen 2010- 2018. dnt dare get the first gen.its soo flawed design wise. slippery seats just not traction btn your ass and the seat, huge blind spot, tranny issue, uncomfortable, then here comes one of the commonest problem of all DPF clogging. someone will say you just remap ECU etc man its not just a walk in the park.

Siwezi jaribu. Nazionanga kwa barabara na kwa picha tu. Siwezi karibia hiyo kitu mimi.

Niko na neighbour, [SIZE=1]a young female doc[/SIZE], yeye uamka na kibuyu every morning sijui ni nini yeye uweka kwa engine, then anagurumisha anaenda kuoga. I guess i’ll ask her one day. Actually that car should be confiscated for air pollution.

hehe… gari gani?

kuna jamaa ananiuzia foton double cab bei ya jioni

He he he…

Most Foton double cab nimeona ni za Nairobi County Government chunga usiuziwe gari ya Kanjo. :D:D:D

Nice advice