Wa mwisho ndo mshindi.

Wakuu,njooni tucheze mchezo ufuatao.

Anza sentensi kwa kutumia neno la mwisho la aliyetangulia.

Mfano.

Magu amezima mitandao.

Mitandao imezimwa jamani.

Jamani jf itarudi lini.

Lini watajanjaruka hao makabwela?

Makabwela ni vigumu sana kubadilika

Kubadilika kwa jiwe ni ndoto ya mchana

Mchana tulikuwa wachache humu

Humu majukwaa yetu yamewekwa, bado sijaliona jukwaa la Chit-Chat

bado jukwaa la celebrate sijui warumi akija atafikia wapi?

Tuko wengi

Mkuu kumbe umeukwaa U-Mod.

Sasa ebu fanya mambo majukwaa yote ya Jf yarejee bana

Ngoja niwasiliane na Viongozi-Wenyeji

Poa mkuu

Na LA sisi wambea?

Lipi hilo?

Lipo la burudani mkuu.
Ila kama uhitaji utakuwa mkubwa tutafanya hivyo.

W

Wambea kama kina Demiss nipo hapa wapi Mama sabrina jaman shunie Miss natafuta loooooh

Waite waje ubuyu uongezeke huku

Huku waananiambia wanashindwa kuregster

Kuregister kenyatalk ni dakika sifuri.

sifuri jumlisha x unapata x

x wangu bado hajaja huku