wacha ibaki story

kwetu kisii iko msemo ilisemwo kwamba ubwa harudii kukula matapishi Yake.ukweli mtupu.Niko APA desperate bench inje ya co-operative,hii co-operative iko karibu na bomb blast penye ilihappen.sasa Mimi nimetulia tu pale nikitegea kateam kalikua kanacheza morning kalete pesa then naskia kasauti kwa simu eti bro,si uulize ile rafiki yako Daktari atusaidie na kadawa juu ile ndugu yetu akienda kukojoa anatoa vitu za white sijui zinakaaje.unajua walikua wamekosana na Bibi but sasa walirudiana soo nikama aliuma kitu mbaya.anyway kabet kamejipa,wacha niwidraw then nitarudi na ekaya kamili baadae.lakini kabda nikuje na story, MTU unaezaje rudisha kitu imetombwa tombwa na unajua kweli imekua ikitombwa eti juu ulimpenda sana kama wife. wacha umama kasee,wacha umama.ule muimbi wa Tanzania anasema wacha ibaki story,heeee wacha ibaki story kati yangu Mimi na wewe

1 Like

Nimeachia hapa

6 Likes

Seconded

Nimevumilia

2 Likes

Nimemaliza.

3 Likes

Nimeudhika.

4 Likes

Nimewahurumia

1 Like

Nimejilazimisha

1 Like

Nimechoka

2 Likes

Nimeshangaa

2 Likes

Nimeshtuka

1 Like

Mnaudhi!

Nimekasirika

Nimekwama

2 Likes

nimecheka.

[ATTACH=full]79318[/ATTACH]

1 Like

ati ‘muimbi’ wa tanzania :D:D wewe ni true blood mkisii

1 Like

Nimeharibu muda wangu

nimetomba

Nimestaajabu

Wacheni kijana yangu, hahaha :smiley: :smiley: omogambi emboro inatoa ebumunguriete? Tadpoles haha @Abba na @KayF injwo igaa akeigo ingo mokonye omogambi oito aa :smiley:

2 Likes