Wacha uibilisi eti iebc wa go missing

ssp

Village Elder
#1
Mbona ujipeleke kwa PROTEST..na uget Killed tukibaki tukisema BRO REST in peace,Just because ulijiona wewe ni PRO than the REST..ati unarusha mawe ndio waone that you ROCK..KIBURI inakupeleka kwa KABURI just because ulicheza na GAVA ukipigania mtu mwenye anajibamba huko JAVA..ni wajinga tu wanaweza enda na PANGA kulipiza KISASI against polisi mwenye amejiPANGA na RISASI...mwenye atakumaliza bila KUJALI..coz akiulizwa atasema ilikuwa AJALI..unamwaga DAMU just becoz wewe ni wa Nasa DAMU...ni painfull mzazi kudhani unaSOMA,kumbe tyre kwa protest unaCHOMA...unarudia mzazi ukiwa MAITI,just because ulijiona MIGHTY..anashangaa yeye ni single mother but anasikia ulikufa ukipigania BABA..poor mother anastruggle venye mtaISHI na wewe unaongeza expence ya mazISHI,mbao zenye mama alitaka kabati KUTENGENEZA zilitumika kuunda GENEZA..manze fikiria na usikubali kupigwa uharibiwe SURA juu ya hizi KURA..kata TAMAA kwa hawa fake politician bt usikate JAMAA..
 
Illuminated

Village Elder
#4

Is it me who can't swallow my little pride or your poem was just meant to be posted elsewhere?
 
Top