Wadau eti nizime Msedes saa ngapi

What time are we switching off the engines

Uliza Janet Mweni

uliza retired virgin ndio anapelekanga msedes. watu wa toyo na bayerische motoren tukae wapi

Nipe digits

0730Hrs
Lakini sasa lazima tuongezee bei ya kubeba mizigo?
Truckers do an average of 1000litres a week so bei ikipanda na 20 bob that’s 20k imeenda tu hivyo :oops::mad:o_O:eek:

Sijaelewa kitu

Ongezeni SGR iendelee kuwakamua.

Swafii, hope hakutakua na violence

Sawa ambia mchinku aongezee SGR hadi kwa duka yako basi…
Trucks aren’t going anywhere my fren!

Also SGR is powered by diesel so hata hiyo iko affected!

Difference is that SGR takes the contents of 200 trucks and carries them with one tank of diesel. Soon they’ll be stacked. Economies of scale.

Halafu, that last delivery to my shop requires much less diesel and money. Truckers wajipange ku-deliver off the tracks.

FYI Short distance trips are way more lucrative than long distance ones.

True, but there will be fools who will linger too long crawling parallel to the train. By the time watagutuka it will be too late.

The freight train may also max out at 80kph, but its path is unhindered by traffic, cops, weighbridges and erotic distractions in Voi, Mtito, Syokimau, Mai Mahiu and beyond.

yangu imekuwa juu ya mawe…needs a new clutch plate…sijui pressure plate etc…nauza…

gani hizi:D:D

254-0-800-MD-1-800-SE- South bend Indiana.

:D:D ati erotic distractions?

Field marsehole alishazima msedes enzi za za klost.

utauza aje bila clutch ama utapima kilo?

Wachana na @Nattydread , mutheus of this world will always prosper.

Gari Gani hio umewekelea juu ya mawe?
I know some guys who love restoring old cars.

Hii ni Mercedes c200 1997 model…chuma kabisa lakini guzzler na inatoa moshi like @gashwin when he used to puff thru the packs…
Nitairestore pole pole then sell it as a classic or nikisha jenga ocha itakuwa huko parking…