mi naomboleza tu na watu wa muguka,tuko official press conference tukitaka kujua what is our next step ya kuweka hiyo matawi…in the mean time tuingie ujinga ya wakenya…
@screwplus : Hapa ni GSU
GSU: Ndio tukusaidie aje? @screwplus : Mimi ni Kipofu
GSU: Tunakaa kupeana macho? @screwplus : Hapana nimekuja kufanya fujo ndo nione
Nmejichocha nkabebea dem flani maji 20ltrs kutoka ground floor adi 6th floor, kufika kwa mlango ananiambia ati "asanti sana, weka tu apo chali yangu ako kwa nyumba ataingisha ndani "
Imebidi niteremke na izo mtungi zikiwa na maji adi mahali nilizitoa.
kuna ujinga sipendagi:cool:
Dating a ghetto chic like;
ME: Sasa hun.
HER: Ah! Fresh sana mzito, semaje?
ME: I just wanted to tell you that I love you
so much.
HER: Muhimu brathee, tufike kejani urarue
hii kitu ama?:D:D
A Kikuyu man wins sportpesa jackpot
QUESTION: Utafanya nini na hii pesa?
Maina: Kwanza nitahesabu nione kama ni yote.
:D:D:DWasepere walikosea wapi aki:D:D:D
That awkward moment when you’re in church seated next to your Ex, then the Pastor says, “Tell your neighbor its not yet over”… and you’re like, “I said its OVER”!!!:D:D:D:eek: