Kesho nimeambiwa kuna kazi mjei ya koroga na niko najitolea kuenda… sa nimepika rice supper na kesho naraukia slice tatu za mkate na bb. venye nimezoea kukula campo.
Si hii kazi si ngumu, msee anaeza bunk tu ka daro… Unajua sa nishatoka campo sa ni tustle hapa na kule
Unakula mchele kwani unathani umeenda kudara mfuko ya simiti ama unathani umeenda kuosha foreman mkono…pugaa…enda ukule sembe sawasawa ndo ufanye kazi…pale campo najua tu ni mchele na kuchat…:D:D