wadau ni kubaya

imagine kaswamp kengine kako area ya home kamevunja kingo,in my entire lifetime hakajawahi fanya hivo

Semeji salimmia @Jirani

Fake news…

Wapi mbisha ngombe ya Santa Fe ranch…

Kama iko na samaki ndani ongea na Jecinta Adhiambo atasaidia na evacuation wa samaki yoooote .

picha ama hii yote ni upussss rudi kwa hacienda upige mbisha

wekerea pisha fasta

Ongeza mchanga na wheelbarrow penye kame break badala ya kuwaste time kupost hapa.
You might save a few frogs from being swept away.

he he he,panda na hio kamlima kako hapo nembu,ukifika hapo nembu girls, teremka na hio njia enda kiasi, hapo utajionea maajabu

mimi sifanyi kazi na county council ,isipokuwa iko kwa the lowest point hiyo area so it is impossible ifanye damage sana

hata kule naishi kuna mto which has burst its banks vibaya sana. A few months back it was bare rocks and water puddles. Now its something else.

so maji ya kutumia kwa kibandaski haikusumbui,order ya matumbo vipi?

Maji kwa wingi bana. Nikiulizwa nasema ni raw water with all the nutrients

ngombe ya moscovite si utengenezee wateja russian special?

maembe fry kwa ugali ni how much ?

kuna ya 25 na 40. Ya 40 inakuja na mbegu

Inakuja, wewe uliringa na trade secrets huko Nembu like the shinny eye you are. ghasia

i guess hiyo swamp ni shiko

Hata Masinga inasemekana ime overflow, watu downstream hawataki kuhama.

Ile inatoka bagaria towards Lake Nakuru?