Wadau Niaje!

Gaza

Village Elder
#1
Sasa kuna vile nataka kutuma package fulani to a friend of mine huko Botswana. So nauliza aje .. is it possible to send it by bus? Any leads would be helpful .. its like 40-50 kgs. Ma fixer was kijiji hebu mkom hivi. Asanteni watu wangu.
 

Top