Wadau

sani

Village Sponsor
#12
uko na kasoro gani enye imekufanya usioe msichana fresh? kama huyo single mother kuna mwanaume alishindwa na yeye, wewe utawezana? Mbona unataka kuitwa Dad na mtoto si wako, si uzalishe wako akuite Dad?
Mbona unapuuza wisdom ya villagers?
Leta Hekaya after 12 months. ii itakuwa funzo kwako
 
Top