Leo ni gibleys bila huruma mpaka baadaye ndio nichomoke reports zimekuwa mingi deadline ni Tuesday sasa ni ku operate mpaka kwa nyumba . Nimefunzwa word na bibi ati mupya ati 'mutumia' .