Waiter!!

M2Random

Village Elder
#1
Nikiwa first year kuna beste yangu anaitwa tosh aliangukia job ya car-track. Salary 25k!! Jackpot. So salary yake ya kwanza akatext squad mzima amelipwa. Form ni Westy. For a freshman 25k ni mirrions. Sasa Tosh ni wale wasee wakilewa wanakuwa wajinga. After first round akaanza
- Waiter patia Kama shots tatu tumetoka mbali!
- Jonte nishawahi kukosea? Si unajua tulibatizwa pamoja. Waiter!! Pea Jonte Guineas tatu.
- Voke. Ile Cat walahi ningepata nunge kama sio wewe. Waiter!! Patia Voke shots mbili za Amarula.
- Sonic niaye!! Wewe ulinihookup na ex wako :D :D ikakuwa merry go round na nikapenda sana. Pewa Tusker!!

25k zikalipuka ivo in one night.

Etc etc. After one week akaanza kututext "Niaje. Nisort fare ya kwenda job nitakujenga endmonth."
That's how Tosh joined the rat race :D
 
Kigui

Village Elder
#3
@M2Random, try to understand that child support lasts untill your child is 18 years. Try to understand that child support also comes with spouse support alongside other legal obligations.
We have the internet, people who you slept with and happened to bear your children will wait for your social Media appearance. Watatokea.
 
Rubeni

Village Elder
#8
I can relate. Nikiwa 1st year (Mi ni mhenga, who here did Kisima cha Giningi, Romeo and Julliet, The Concubine, Kusadikika, Masaibu ya ndugu Jero, Mashetani, African Short Stories as set books?) nilipata Supp. Did the supp kama tumeshareport 2nd year. When I got the results nimepass, nikaita wasee kaa 10 ku celebrate. Nilikuwa msee wa ocha ocha hivi but had lank up with Nai guys as buddies, you know the struggle to cope in campo those days. Let's just say tulikunywa chacha yangu yote and had a very tough semester kusurvive.
 
Ken_Sarro

Village Elder
#9
Nikiwa first year kuna beste yangu anaitwa tosh aliangukia job ya car-track. Salary 25k!! Jackpot. So salary yake ya kwanza akatext squad mzima amelipwa. Form ni Westy. For a freshman 25k ni mirrions. Sasa Tosh ni wale wasee wakilewa wanakuwa wajinga. After first round akaanza
- Waiter patia Kama shots tatu tumetoka mbali!
- Jonte nishawahi kukosea? Si unajua tulibatizwa pamoja. Waiter!! Pea Jonte Guineas tatu.
- Voke. Ile Cat walahi ningepata nunge kama sio wewe. Waiter!! Patia Voke shots mbili za Amarula.
- Sonic niaye!! Wewe ulinihookup na ex wako :D:D ikakuwa merry go round na nikapenda sana. Pewa Tusker!!

25k zikalipuka ivo in one night.

Etc etc. After one week akaanza kututext "Niaje. Nisort fare ya kwenda job nitakujenga endmonth."
That's how Tosh joined the rat race :D
You always have to make that one mistake with finances at an albeit lower level ndo ujanjaruke in future. Had a friend aliwai job pale One Acre fund from home salary ni roughly pia hio 25K but alikua ametamani simu na nguo siku mingi. First salary jamaa alibuy tablet ya 20K and had to survive with 20k the entire month. Second month 22K nguo. Hapo sasa he learned the hard way.
 
Bigfish1

Village Elder
#10

Can't relate, this kind of behavior is particular with punks.
If you cannot budget to have some money for your daily use, or save towards something you want, even if it's your first salary, you're a punk.
 
Top