waiwaiwaiwaiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii terarium TV

the best thing that ever happened in my life full hd 1080p

ahsande sana @snapdragon .

chromecast iko juuuuu

[ATTACH=full]130977[/ATTACH]

Iyo squembee inaweza

Generally slow.

Ju uko off kesho hatutapumua hapa. Jinga hii.

Joogo wa shamba…

wapi TV??

nunua TV yako uwache kunisumbua . ngombe wewe .:D:D:D:D:D:D:D:D

@snapdragon clarity ya series movies za mobdro ziko chini sanaa . hebu nisaidie channel ingine kama teraruim ntapata epl iko HD .

cc @WuTang .

na ukapata 4k je?

upusu

Ndio kuality omwami

Ray Donovan live . Na hii gari ya Ray Donovan lazima ni ninunue

[ATTACH=full]130980[/ATTACH]

swadakta

https://www.reddit.com/r/soccerstreams/

Pia huyu uliuziwa pamoja na chromecast

Jinga unasumbua

:D:D:D:D:D:D:D
Uuuwiii.
Panya amenunua TV akashtuka hadi ameomba off.

hiyo dinga ya ray donovan ni Mercedes Benz CLS550 Coupe bei ni around mita kumi uko

Pia mimi nimeshangaa.Sijawahi ona mtu amebambika hivyo juu ya tv.Hawa peasants watatuonesha mambo

Tafuta app inajiita Solid Streamz.

[ATTACH=full]130985[/ATTACH]