Wajuaji, hebu nielezeni difference ya hand sanitizer na disinfectant

Naona pale Jumia hand sanitizer za 50 to 60ml zinachezea 500 to 800 chirrings. Na disinfectant ya 5 litres ni 618.
[ATTACH=full]292803[/ATTACH]
[ATTACH=full]292804[/ATTACH]

So nikajiita kamkutano nikajiuliza, “yaani mimi captain obvious nitoe 800 kwa kachupa ka 60ml, mimi sasa?”. That’s nearly 10% of my 9k salo, it simply doesn’t make sense. So hebu nielezeni, disinfectant ina tofauti gani na hand sanitizer apart from majina? Naeza paka hiyo disinfectant kwa mikono bila ngozi kuchipuka?

Even more importantly, why hasn’t Kariobangi light industries started mass production and distribution of these items? From casual googling, you only need alcohol, aloe vera and essential oils such as tea tree oil. I believe these basic ingredients are widely available, so what the heo? Ret me tero you, hakuna vile natoa 800 kubuy 60ml ya hii tucker tucker. Afadhali ningoje hiyo corona tupambane omundu khumundu. Bei ikifika 30 bob mniite. For now, good old soap works just fine.

Ni Kama arimis na ky jelly

Vile Ivory coast amesema

Wewe unawa mikono na jik ama doom?

Ata ushindi soap ni ya 20bob na maji ni bure kwa tap. Maji ikikosa, ata maji ya mtungi ni below 50bob, au ata ya dispenser 10 liter ni around 200 bob. Munafuatana na overpriced sanitizers za nini?

Disinfectant ni ya kuosha Choo za Kanjo. Nunua bar soap na soap dish uweke kwa mfuko.

Disinfectants ni za kuclean surfaces usually in large scale kama floors na choo za sabina hivi,pia sheets zao
Sanitizers nazo could be wipes as well as liquids but used on small surfaces kama meza ,mikono ama chupa za watoto,kuna pia za kusafisha vyakula

Mbona hii stress yote. Nunua methylated spirit ile hutumika kinyozi mix na glycerine and you are good to go.

most places hakuna running water.
unless uende hoteli ama umeandikwa kazi unachungianga watu pesa