wakamba kujeni hapa

Iko beshte yangu hapa ananiambia ati jina ya simba ya kikamba ni Mnyambo. Sasa mimi naona ni kama ananichezea, kwani waliskia hio sauti simba inatoanga ni kama mnyambo.

6 Likes

V.E smh

1 Like

Chida ya matamuchi, correct spelling is “Munyambu”

1 Like

kamba word of the day “malenge” kasee hupenda malenge na hip hop

2 Likes

The best thing about Kamba is that they’re courteous. They insult you with a fast-spoken language design hutafeel insult. Usitake kutusiwa na Sapere wa Kiambu; you’ll hear even the silent letters in the insult.

2 Likes

Mee aah ma mbaka, nichau wiandikye vaa? Ula muthenya umantha muthiti waku na ilaya vai tofauti, ngunie simu. KINO!!!

1 Like

Akiangaa!!

Syukile

Maiisi kana ukamba nikuo kuvandawa mavindi makamela nyama! Mokua!