Wakamba wa Ktalk. Tafadhali patia sisi transleshen. I can tell Jamaa ameanikwa in public

[MEDIA=twitter]1405103450132828161[/MEDIA]

Mimi Si mkamba but nikama kisapere. Demand anadai amezaa watoi na huyo boi. Nikama kunguru alienda ku gatecrash dowry ceremony ya huyo boy

@BADASS , Sasa hizi ni Gani tena ?
How do you cosign 500k ‘business’ loan with your wife and then go and pay dowry for a second wife?
Nkt.

aalihukua 500k oan na bibi wako na watoto wawili akazitumia kwenda kuchukua bibi wa pili

Tabia zengine kwa wakamba zinaeleweka. @BADASS huyo ako kando ni Kasau Katombi?

business loan to pay dowry for second wife ,priorities upside down

Kiongos msito huyo

Ati loan ya kulipa dowry…:smiley: hio jamaa ilifaa kuzaliwa kama nugu.

@BADASS wewe ni bladfakin.

Darwin award

Kuna ghaseer zilikuja na mama zao from Centro ,ghaseer Kama @Baby Panay ilikuja na mama ,alizalishiwa Centro wat do you expect? Na @Baby Panay last warning mushienzi hii ntakutumia kunguru na nyoka.

ni dowry prank. I saw the clips

@Coronatities kuja u translate hii kitu. Umeishi Paipu kwa wakamba miaka 6. Walisema unaelewa hii lugha vizuri.

Hii ndo ughaseer tunajaribu kupunguza. Kama uliiona si ulete effidens

Be serious Gitau.

Na jamaa is going back to the same village for second dip.

:D:D:D:D

Hahaha ati anachukua load ndio alipie dowry ya 2nd wife. Huyu simp alihata mens conference. Kisha atokwe na wanawake wote abaki na loan bane. Brary fokof

Hapa ni wapi?

:D:D:D…

Kazi ikipotea atakuwa akilia kwa changaa den vile hio 500k ilipotea tu hivyo.