Wakamba wawili

The last time isaw them actively as a duo was in that Hiphop Halisi show…then sometime nikaona labalaa kwa ngoma flani inajiita Mungu yuko juu…
Wako wapi sikuizi?

[ATTACH=full]312655[/ATTACH][ATTACH=full]312656[/ATTACH]

They need to eat some beef banaa.

Nakumbuka Labalaa na Abbass kubaff kwa ngoma flani ilikuwa inaitwa full kipupwe, sijui mbona ilitolewa YouTube
https://mdundo.com/song/6535

Labalaa na Agano

Hao nd’o bado walikuwa wanajiita Warogi Wawili?

:D:D

kulikuwaga pia na walanguzi… another group

Mpaka saa ngapi mtafeel low
Tuki flow, high mtafeel
Warogi wawili tukikuja na hiphop so real
Sema yoh sema yoh ni Kah na Brayo!!!

Hao ngoma zao zilikuwa na topics Kama za gengetone… yet they claimed hip-hop.

yeah…kah na brayo

Waliingia corprates…mmoja wao aliget job kra

Iyo ni mbicha wakiwa wapienga…izo peace signs tulizipenda sana

That’s how flow and Kenyan music should sound

[COLOR=rgb(40, 50, 78)]Used to visit their fam’s house in Magongo, place had awesome graffiti na viazi Karai, shada, ugoro na mnazi ilikuwa kama kawaida

post?

ugoro ya huko wanatoa wapi?

[COLOR=rgb(40, 50, 78)]Base ni kadhaa, kulikua nazo sides za Migadini, Chaani na huko Magongo pia za 35 bob

agano sucked. I’m still confusing him with Zakah. zakah alkua fyn on the hooks

agano is hardcore hardcore…zakakah is mellow-ish…perfect combo

i wonder how you make money doing hardcore rap in kenya, or any small economy for that matter. tells a lot why kunasemwa some walichorwa na kra

in the end passion ka haifeed . . .