Unaeka viti za mat kwa kibandasky [ATTACH=full]246909[/ATTACH]
:D:D
:D:D:D But mat yangu viti kuuunda ilini cost 300k
ndizo zilipatikana Kwa urahisi papa, he he he
Bora uhai?
:D:D:D
Hizi nilipata kwa local bar flani hivi.
Ukilewa unahisi kama uko kwa Mat, raha mustareheee
Nani amekuuliza…ghasia umbwa takataka
Umenikumbusha Staff Complex butchery pale Naivacha.