Jana nilikua kwenyu interior kuvuna waru… Baridi nayo… Guess hapa ni Wapi? [ATTACH=full]11101[/ATTACH][ATTACH=full]11102[/ATTACH][ATTACH=full]11104[/ATTACH]
Niaje Uncle Nyam
Ukiona shamba iko na diapers (both adult and toddler) jua umefika kwa wakameat, utakuta anafuga fisi sio mbwa kama wakenya wengine
jana alikua analalamika shamba lake limejaa diapers
Basi hizo ni zake mwenyewe . Interior watu watoe diapers Wapi na kuna maganda ya ndizi? Hata kwetu t-shirt mzee ni diaper tosha
Wakanyama ndio huyo in the last pic
Ulikula lunch hapo Lebanon Hotel
Aha someone knows the place
Amaco insurance in your car…na Amaco insurance on the top floor of your second pic…inakaa kabiashara kameshika naivasha.
Wakanyama anafunza mtoi wake driving lessons
Huko ni wapi? Mai Mahiu?
Hehehe lakini hapo sio Naivasha
@ol monk Thursday narudi hizo area kumalizia. utaniagizia kambuzi manki?
No. Hapo ni ndani kiasi.
hapo ni murungaru?
umeskia? nyama si nyama kwa manki kama haiendani na banana salad
Hehe staki mandizi …
Hapo ni town inaitwa engineer past tulagaa, njambini… Nimepandaa waru kwa msitu abadares
That’s among the posh hotels around there :D:D
Five star hivi hivi :D:D;)
kama hakuna shamba ya ndizi hakuezi kuwa posh kwako