Wakatoliki wenzangu karibuni huku tumsalimie mama yetu

Chimgege

Senior Villager
#12
hayo ma sanamu mnayo ning'inizaga shingoni ya kazi gani. Mengine mnayabandika mbele ya Altare madhabahuni.
Vile ni vielelezo tu juu ya kile tunachokiamini na hatuziabudu kamwe.

Kwenye ibada zetu humtaja Mungu muumba wa vyote, Yesu Kristo Mwanae wa pekee Pamoja na waja wake wema.
 

Top