Wakenya yawa!

Hii banghi Kamau ameleta adi huku …

[ATTACH=full]245812[/ATTACH]

Ni tumie dirham nguruwe ya Qatar

niaje kipii naughty?

Dirham ongea na @Maina Njenga Apa tunatumia qatari yen

Skuma hio basi.

Rusha paybill namba msee

Fiti gashmende

The owner must be a shiny eyes.

Hio jina ya kiarabu kwa number plate inasema nini?

kasee, i mean kisee. mtu akitafuta hustle uko kwa abdul unaweza saidia??

Qatar

Ita depend buda

na nini au na nani?

Kama ni agent recruiting or the company, and also your location…

Niaje Kush Yule Momo

Pia depends na ile hustle unaplan kuchapa. Kuna mawaks unaeza angukia ukiwa hapa bila kupitia ma agents, but mob hazina machwa poa. Ukipata direct hire from a company then jua hapo utakuwa imara kama pilsner … cc @Fala 12

Poa sana shifo

Wazi msee. Nitakushtua balcony tubonge Zaidi

Poa DO1