Wakubwa,Hii ni nini?

Nimeshindwa kuielewa. What could its purpose be?
[ATTACH=full]111071[/ATTACH]

looks like a modified chassis.

Is that a caravan at the back or what is?
That can give a clue.

heehehehe hiyo ni Artillery Gun “Howitzer” ya kuwekea wa shemales kwa matako halafu una fire

aki ya Mungu hii kijiji???

umeipata kwa backyard yako leo?

@introvert kam utuambie hii ni nini?

looks like a stablelizer

Boss take me to your konyagi seller

don’t worry, soonest, but apetize and ogle with hii hapa[ATTACH=full]111078[/ATTACH]

Hio matawi boss ndio sipatanangi nayo. Lakini hizo vinywaji swafi

Na asitumane…

Kusema ukweli sijui hiyo ni nini.
I see Fox shocks, dampers na disc brakes so najua tu inafaa kwenda mbio sana.

Ox-drawn lawn mower.

Mogaka???

Illustrashens makanika. Illustrashens.

Hydraulics mingi is the clue.
Chassis for Gangsta mobile za akina Snoop Dogg na Dr. Dre in the 90s

https://www.youtube.com/watch?v=_CL6n0FJZpk

Ahaa.
Kweli.