Wakubwa Saidieni tafasali

Maze nilikua natembea pale torrents nkisaka app flani cracked (Dont blame me, am a peasant ) Sasa kuinstall app, shetani akanidanganya nikadisable defender. Sema lappy kuambukizwa na virusi. Every two seconds kwa Chrome tab mpya inajifungua ya adverts, so frustrating. Nimejaribu first aid skills nmeshindwa. Nimetembea pale kwa apps nika-uninstall apps zote ziko na jina funny funny, nkarudi kwa Chrome nikatafuta extensions zozote funny nikazingoa, bado shida iko tu. Ikabidi nmengoa chrome altogether niamie Edge, alas! Shida bado zinanifuata tu. Maze nmeboeka ile serious mpaka nikaplay ile ngoma ya Drake inaitwa In My Feelings, ngoma ya ufala sana. Sasa nilikua nawauliza wahenga kama mnaeza nisaidia, tafadhali nawaomba, and I promise to start supporting app devs from today. Sandeni sana

Uninstall chrome alafu uinstall tena

Just format your pc na vitu za sare chorea utajipata unedownload ransomware ndio utalijua internet iko na wenyewe, mimi kunaday nilidownload app then mashida zikaanza nikitumia mtu bitcoins nikicopy address then nipaste ina replace na ya huyo “coder” uzuri nakuanga keen sana nilinotice na nikapata mbinu ya kuiepuka but nilichoka ikabaki nime clean kila kitu kwa PC nkaeka afresh ikahepa, pia chungana sana na pdf

soma post tena

aki this is what am trying to avoid, 100GB of files in here

Kama umeacha uhuni, do this intall live linux kwa disk or usb. Then boot from them
Look for anything you have not installed kwa all disks i.e disk c d,e.
Kama ni kwa folder yeyote utaumia msee

Huyu asaidiwe amefika mwisho. Mpaka anaahidi kubadilisha tabia aaisee. This is some really funny s.hit

heheh mimi siwezi kanyanga torrents na PC ya windows. one day some ransomware encrypted all my files including a copy of an application I was developing. niliingia tu linux nikafuta partition ya windows, nikaweeka windows afresh alafu nikarepair GRUB. those ukrainian bastards are very idle.

Weka Eset Antivirus…it will remove the virsu…then scan with smadav for the hidden registrykeys…hio virus huwa kwa registry…

even macs suffer from viruses nowadays

:D:D:D hizo virusi zimejificha kwa registry. Nilikuwa na shida kama hiyo back in 2015, what saved the day ni MalwareBytes Antimalware.

I have the same exact issue. Only, it’s on my android phone. Niko karibu kuipiganisha kwa ukuta!

I dont use mac. even if i were to use mac I would still install windows or some version of linux. linux is better for those creepy sites.

Consider re-installing Windows. Be sure anything fishy from torrents itatembea iyo machine yote design ya bushfire.

:oops::oops:
 Didn’t know that

Wueh. Format hiyo kitu msee.

I think this has worked, though am still waiting to see if Chrome will misbehave so that I can throw the laptop out of the window, another thing it is slower than usual

Download and run stinger.exe from Mcafee. Link ndio hio. All the best.

https://www.mcafee.com/enterprise/en-us/downloads/free-tools/stinger.html

@RetiredVirgin method worked, then the PC started lagging, which I had to instal AVC it then fixed the running issues, so the PC is now clean, but I’ll have to start supporting app devs I swear

watu mlizoea windows XP sana hadi kwa windows 10 ukipata shida kidogo ya a simple adware unataka kuformat comp. formatting should always be a last resort when you are infected by a ransomware, hizi upus zingine antivirus will manage fine

what you have ni Adware, download ADWCleaner from here https://www.malwarebytes.com/adwcleaner/

hiyo ndiyo dawa ya Adware