Ndio nmetoka cell sahi apa parklands .bibi alipata slap Jana akakimbia police station.sasa nashangaa kwani siwezi imarisha nidhamu kwa nyumba yangu? Nwei boinnet ndio amenitoa, mutyambai hashiki simu . Hawa vijana walikua wanataka 36k...don't know how they arrived at that figure. @pamba ghaseer nyinyi!