wale watu hukaa apa mbele kwa Matatu

#1
kuna this hawa watu huwawezi panda matatu any other seat kama sio apa kwa dere....
halafu this fools wakikaa apa mbele juu kuna two seat mtu mwingine akikuja hawawezi songea...inabidii wanashuka ndio wewe uingiye...ata ukiambia the fool nashuka apa karibu

sasa this people ata uki ingia time ya kutoka.this fool hataki kushuka anaweka miguu kwa side ati upitee..
hawa watu shida yao huwa nini?
 
#4
Yenyewe mtu anafaa kusumbua kwa gari yake and not in public transport.
ivo ndio mimi husema....ama unaona gari stage imejaa music na unaona vijana wanafight kuingia iyo gari,nawe unarukia pia .then safari ikianza unaskia mzee anadai punguza sauti...dereva anapunguza kiasi...bado jamaa anasumbua zima iyo radio...makanga anakushow wacha nikuwekee next stage mzee uchukuwe gari haina music...apo ndik mzee ana anza do you know who l am

nugu nunua gari yako
 
roots

Village Elder
#16
angushaa heka kaka :D full HD vile kulienda
he was brake checked due to an ongoing road rage that had started from allsops to pangani(old thika road highway)..mimi na kiherehere yangu nmeketi apo mbele ya fh mitsubishi kama mwenyewe....alifungiwa emergency ..yani the only thing i remember was i couldnt move my knees due to the dashboard,glove compartment kunifinya nor my upper body due to the weight of the windshield that fell on the inside...:D:Das i was groaning in pain ,chockosh war was continuing apo inje...the other driver came out with a nyahunyo akaanza kupatia mukurino zake akimuliza----direct kikuyu translation--- anafuata gari nyuma aje ni kama ako na harufu.
 
Last edited:
#19
he was brake checked due to an ongoing road rage that had started from allsops to pangani(old thika road highway)..mimi na kiherehere yangu nmeketi apo mbele ya fh mitsubishi kama mwenyewe....alifungiwa emergency ..yani the only thing i remember was i couldnt move my knees due to the dashboard,glove compartment kunifinya nor my upper body due to the weight of the windshield that fell on the inside...:D:Das i was groaning in pain ,chockosh war was continuing apo inje...the other driver came out with a nyahunyo akaanza kupatia mukurino zake akimuliza----direct kikuyu translation--- anfuata gari nyuma aje ni kama ako na harufu.
:D :D
 
blueline

Village Elder
#20
he was brake checked due to an ongoing road rage that had started from allsops to pangani(old thika road highway)..mimi na kiherehere yangu nmeketi apo mbele ya fh mitsubishi kama mwenyewe....alifungiwa emergency ..yani the only thing i remember was i couldnt move my knees due to the dashboard,glove compartment kunifinya nor my upper body due to the weight of the windshield that fell on the inside...:D:Das i was groaning in pain ,chockosh war was continuing apo inje...the other driver came out with a nyahunyo akaanza kupatia mukurino zake akimuliza----direct kikuyu translation--- anafuata gari nyuma aje ni kama ako na harufu.
Urarumirira ngari yakwa na thutha atia tai wina muruki? :eek::D:D
 
Top