wale watu hukaa apa mbele kwa Matatu

shikoti

Truck driver
#43
Mimi ni mmoja wao. Sijazoea kurukishwa rukishwa na spring za nyuma na hii tumbo yangu.Halafu tena tabia za peasants kule nyuma huwa hazileti shangwe. Mara mziki iko 100 decibels, mara mwingine anatafuna mahindi kwa sauti, FP naye ametoka kazi na hajaoga. Siwes vumilia.
:D :D FP hapa hajaambiwa poa
 
P

pseudonym

Guest
#49
Can't sit on the middle sit...dere na gear yake.
The idiot keeps changing gears na sahizo he holds it from my side so that his knuckles keeps grazing my thigh. :mad:
 
#53
kuna this hawa watu huwawezi panda matatu any other seat kama sio apa kwa dere....
halafu this fools wakikaa apa mbele juu kuna two seat mtu mwingine akikuja hawawezi songea...inabidii wanashuka ndio wewe uingiye...ata ukiambia the fool nashuka apa karibu


sasa this people ata uki ingia time ya kutoka.this fool hataki kushuka anaweka miguu kwa side ati upitee..
hawa watu shida yao huwa nini?
Wengi wao huwa wanabembwa Saree na wengine kama ni madem jua hiyo ni mali ya konda ama deree inapishwa maround ndio githaa ya kunyonga ikaribie
 
Top