Nimeona niilete huku tuijadili kwa kina. Sikiliza taasisi za kisenge (Mimi siyo author wa hii taarifa nimeichota tu kuijadili tukiwa huru zaidi)
https://www.jamiiforums.com/threads/waliompa-tuzo-ya-uchumi-magufuli-wabanwa-na-maswali-washikwa-kigugumizi.1457922/#post-27632980
Taasisi isiyojulikana imempa tuzo isiyotambulika jiwe anaehaha kupata sifa nzuri inayotambulika.
mropokaji mropokaji
Kuna vitu vingine vinafurahishaga sana… Report inatolewa week hii ya kutoiridhisha serikali kuu… week inayofuata tuzo inatangazwa kutolewa…
Ngoja tuone…
Cc: @Mahondaw
Haaahaaaaa. Shenzi zao.
Majibu wayatoe wapi wakati wamempa ili wamfurahishe tu, misifa itamtokea puani siku si nyingi