waliomteka ndio wanaomtafuta?

nimewaza na kuwazua je waliomteka ndio wanaomtafuta au sivyo
kama waliomteka Bensanane hawakupatikana,waliomteka azory hawakupatikana,waliomteka MO watapatikanaje?,kwa jinsi gani?,

We acha tuu

Hata Zakaria asingewawahi, ingekuwa ni historia! “ALICHUKULIWA NA WATU WASIOJULIKANA!”

… kwanza walituambia mapema mapema kuwa amepatikana. Kwa mantiki hiyo wanamtafuta mtu walienae

Yaani ni ajabu na kweli!

Nchi imefika mahali pabaya sana, kwa kuwindwa na wenye nchi…

maigizo ni hao hao ! Huyu anahiyaji kuwa bombed tu!

Nchi hii imefikia papaya sana unaweza poteza maisha hivi hivi

UPDATES
kauli ya lissu itaishi HAKUNA ALIYESALAMA,WAKIMALIZA KWETU WATAKUJA NA KWENU nafikiri watu hawakumuelewa , MO aliziba masikio alifikiri haimuusu
,