Walisitisha uokoaji eti giza! Zamu yao inakuja

kyekomakubi

Senior Villager
#1
Kwa vile hakuna anayewahusu, hawasafiri na "upuuzi" wa sisi wanyonge, wakasitiza uokoaji wakati watu wanagonga kuta za kivuko wakiomba msaada, eti giza. Mnaondoka watu wanasikika wakilia kuomba msaada, mnaondoka na V8 hao Mwanza Hotel... Ngoja yanayowahsu wanayoyasafiria yashuke! Siombi sala mabaya, hapana.
 
Top