Adnim usibabaishwe na hiyo slay queen
@poyoloko .
Saa hii inalewa tu ile divai ya catholic ile huuzwa supermarket, sijui kama unaitambua. Either hio ama 4th street.
And this is after kukula pizza imenunuliwa na sponsor so hata haijui inaongelesha nani.
Saa hii inabelch tu pizza fumes kisha iende ichore doggie kwa kitanda. The story of slay queen
@poyoloko .